HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 19, 2016

NMB yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa, DSE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji - Dk. Adelhelm Meru (katikati) akipiga kengele kuashiria kuorosheshwa rasmi hati fungani za Benki ya NMB kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Bi. Ineke Bussemaker pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (Kulia). Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji - Dk. Adelhelm Meru (katikati) akipiga kengele kuashiria kuorosheshwa rasmi hati fungani za Benki ya NMB kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Bi. Ineke Bussemaker pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (Kulia).Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji - Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) mara baada ya tukio la Benki ya NMB kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi bilioni 41.4 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji - Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) mara baada ya tukio la Benki ya NMB kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi bilioni 41.4 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza katika hafla ya benki hiyo kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza katika hafla ya benki hiyo kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru akizungumza katika hafla ya benki hiyo kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru akizungumza katika hafla ya benki hiyo kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (Kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya tukio la Benki ya NMB kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi bilioni 41.4 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (Kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya tukio la Benki ya NMB kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi bilioni 41.4 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).Mmoja wa maofisa waandamizi wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) akiongoza hafla ya Benki ya NMB kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi bilioni 41.4 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Meru na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker wakishuhudia. Mmoja wa maofisa waandamizi wa DSE (aliyeshika kengele) akiongoza hafla ya Benki ya NMB kuoroshesha rasmi hati fungani kiasi cha shilingi bilioni 41.4 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Meru na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker wakishuhudia.

No comments:

Post a Comment

Pages