HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 29, 2016

TIB YAKABIDHI MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA- SONGWE

PICHA. Waziri wa katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe akisaini kwenye kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo. Waliosimama ni watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. (Picha na Kenneth Ngelesi)
 Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akipokea msaada wa bando za bati kutoka TIB Corporate Bank, ambapo zilikabdhi wa mjini Vwawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benkihiyo Bwana Frank Nyabundege wa (pili kushoto) kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Mkoa Mpya wa Songwe, wa kwanza Kuliani Mwenyekiti wa Halmashuri Mbozi Erik Ambakisye akifatiwa na Mbunge jimbo la Vwawa Josephat Hasunga.

No comments:

Post a Comment

Pages