HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

July 25, 2016

WASHINDI WA PROMOSHENI YA BENKI YA CRDB YA SHINDA NA TEMBOCARD WAENDA DUBAI

Baadhi ya maofisa wea Benki ya CRDB wakiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuwasindikiza washindi wa promosheni ya 'Shinda na TemboCard'.
Picha ya pamoja.

Kaimu Meneja wa Uhusiano wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akizungumza wakati akiagana na washindi wa Promosheni ya ‘Shinda na TemboCard’ katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya washindi hao hawajaondoka kuelekea Dubai. 

Kaimu Meneja wa Uhusiano wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akizungumza wakati akiagana na mshindi wa Promosheni ya ‘Shinda na TemboCard’, Juliana Utamwa.
Kaimu Meneja wa Uhusiano wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akiagana na mmoja wa washindi wa Promosheni ya ‘Shinda na TemboCard’, Ismail Jimroger katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, muda mfupi kabla ya washindi hao hawajaondoka kuelekea Dubai. 
Washindi wakiagwa na maofisa wa Benki ya CRDB.
Safari njema.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiagana na washindi.
Washindi wakiw katika picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Kaimu Meneja wa Uhusiano wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa benki hiyo. 
Mshindi wa promosheni ya Benki ya CRDB ya 'Shinda na TemboCard', Ismai Jimroger (wa pili kushoto) mkazi wa Dodoma akiwa na familia yake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataiafa wa Julius Nyerere Dar es Salaam kabla ya kukwea pipa na kwenda Dubai.

No comments:

Post a Comment

Pages