HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 13, 2016

Waziri Ummy azipongeza UNFPA na Marie Stopes kwa kuwajali wasichana

 PIX0a: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo.Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt. Florence Mwanri akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”
  Binti mwanafunzi wa Kidato cha Pili Shule ya Sekondari Jangwani Necta Richard akisoma taarifa fupi juu ya ziara ya wanafunzi wapatao 150 kutoka Klabu za vijana wa Kiwohede, Restless Develeopment ambao walifanya ziara kutembelea Taasisi za Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM), Muhimbili, na ITV kwa lengo la kujifunza. Ziara hiyoimefanyika kwa Msaada wa UNFPA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na Mwakilishui Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo.Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifuatilia kwa makini maelezo kuhusu Takwimu za Idadi ya wasichana wanaopata mimba za utotoni kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (mwenye nguo nyekundu) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake".
 PIX3a: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem  wakionyesha bango lenye ujumbe mahususi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni 

 Kikundi cha Vijana Kiwohede kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu  (mwenye kilemba katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasichana kutoka shule mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Watu duniani leo Jijini Dar es Salaam. Picha na: Frank Shija, MAELEZO:

No comments:

Post a Comment

Pages