HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 01, 2016

PICHA ZA KUPATWA KWA JUA

Baadhi ya watoto wakishiriki kutazama tukio la kupatwa kwa jua. (Picha na Kenneth Ngelesi)
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amosi Makalla akizungumza katika eneo la tukio.
 Raia wakigeni kutoka nchini Ujerumani wakishuhudia tukio la kupatwa kwa jua.
 Askari polisi wakiangali tukio la kupatwa kwa jua.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe wa kwanza kushoto, Meja mstaafu Chiku  Galawa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, watatu kutoka kushoto Amosi Makalla wakiwa na baadhi ya wananchi wakishuhudia tukio la kupatwa kwa jua, Mjini Rujewa Wilayani Mbarali, Mkoani hapa.

No comments:

Post a Comment

Pages