HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

September 17, 2016

RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AONGOZA MATEMBEZI YA HISANI

Baadhi ya washiriki wa matembezi ya Walk For Kagera ya kuchangia walioathirika na Tetemeko la Ardhi lililotokea mkoani Kagera hivi karbuni.
Washiriki wa matembezi ya Walk For Kagera ya kuchangia walioathirika na Tetemeko la Ardhi lililotokea mkoani Kagera hivi karbuni.
Baadhi ya washiriki wa matembezi ya Walk For Kagera ya kuchangia walioathirika na Tetemeko la Ardhi lililotokea mkoani Kagera hivi karbuni.
Kutoka kuli ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiwaongoza katika mazoezi ya viungo kabla ya kuanza matembezi ya hisani.
Matembezi yakianza.
Washiriki wa matembezi hayo.
Brass Band ikiongoza matembezi.
Wadau mbalimbali wakishiriki matembezi hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages