Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Biashara TSN, Jahu Mohammed Kessy akiwakabidhi wasanii jezi kwa ajili ya mechi ya kuchangia maafaa ya tetemeko la ardhi Bukoba |
Kampuni ya TSN Kwa kushirikiana na Wasanii wa bongo fleva na bongo Movie wamejitokeza kuwezesha mechi maalum kuchangia wahanga wa Tetemeko la Ardhi lililotokea Bukoba mkoani Kagera.
No comments:
Post a Comment