Caroline Sitta ambaye ni mtoto wa Spika mstaafu, Samuel Sitta akitoa washifu wa marehemu wakati wa ibada ya kuga mwili iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akiwaongozi na baadhi ya viongozi wa Serikali na wastaafu katika ibada ya kuga mwili wa aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania marehemu Samuel Sitta katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais John Pombe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Spika wa Benge la Tisa, Samuel Sitta katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Francis Dande)
Mwili ukiondolewa katika viwanja vya Karimjee.
Wanafamilia wakiongozwa na mke wa marehemum Margret Sitta.
Wanafamilia wakiwa na huzuni.
Wengi waliguswa na msiba wa Sitta, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa amejiinamia kutokana na kuguswa na msiba huo.
Wanafamilia.
Spika mstaafu, Anne Makinda akimfariji mke wa marehemu.
Spika mstaafu Pius Msekwa akimfariji mke wa marehemu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charlrs Kimei akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Spika mstaafu marehemu Samuel Sitta.
Waombolezaji.
Poleni sana.
Mkuu wa Mkoa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charlrs Kimei.

Mkurugenzi wa Dira Media Group, Alex Msama
(kushoto) akibadilishana mawazo na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima
ambaye pia ni Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena,
Mwenyekiti wa TEF, Theophili Makunga na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006,
Absalom Kibanda walipokuta katika msiba wa aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel
Sitta katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment