Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde(katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na mbunge wa viti maalum mkoa wa mara, Agnes Marwa kwa waendesha Bodaboda wa mjini Musoma na kudhaminiwa na NSSF, wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, James Oigo. jumla ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde (katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na mbunge wa viti maalum mkoa wa mara, Agnes Marwa kwa waendesha Bodaboda wa mjini Musoma na kudhaminiwa na NSSF, wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, James Oigo. jumla ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde(katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akimkabidhi kadi ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma.
Naibu Waziri wa
Kazi, Vijana na Ajira, Antony
Mavunde akimkabidhi kadi
ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma, Emmanuel
Lucas wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo, iliyoandaliwa na mbunge wa
viti maalum mkoa wa Mara, Agnes Marwa na kudhaminiwa na NSSF, jumla
ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akimkabidhi kadi ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma.
No comments:
Post a Comment