HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 08, 2017

KINANA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM MKOANI KILIMANJARO

Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC, Mwalimu Ali Mbaga wakati wa mazishi yaliyofanyika leo Feb 8, 2017, katika kijiji cha Kighare, Usangi wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, leo. Mbaga ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM, waliofariki kwa ajali ya gari wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM katika mkoa huo.(Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Pages