HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2017

MAALIM SEIF KATIKA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiimba wimbo wa chama pamoja na waanchi wa Kijiji cha Madaniwa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba ambao walifika kupokea alipowasili kijijini hapo kwa ajili ya kufungua ofisi mpya ya chama hicho. (Picha na Talib Ussi).

No comments:

Post a Comment

Pages