Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu (kulia), akiwatoka mabeki wa African Lyon,katika michuano ya Kombe la Shirikisho FA, mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu (kulia), akiwatoka mabeki wa African Lyon.
Beki wa Simba Mohammed Hussein, akimtoka winga wa African Lyon, Peter Mwalianzi, katika michuano ya Kombe la Shirikisho uliofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment