HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2017

YUSUF MANJI AFIKISHWA MAHAKAMANI

 Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kukamilisha masharti ya dhamana. (Picha na Said Powa).

Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kukamilisha masharti ya dhamana.  
 Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akitoka mahakamani baada ya kukamilisha masharti ya dhamana. 

Mfanyabiashara, Yusufu Manji, akiingia kwenye gari lake baada ya kusikiliza kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana. 
 Mashabiki wa Yanga wakimlaki Yusuf Manji baada ya kupata dhamana katika kesi inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages