Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji Mkoani Kilimanjaro Dkt. Anna Peter Makakala kuwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo baada ya kumuapisha Dkt. Anna Peter Makakala kuwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
vitendea kazi Dkt. Anna Peter Makakala baada ya kumuapisha kuwa Kamishna Mkuu
wa Uhamiaji Ikulu Jijini Dar es Salaam.
|
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw.Rogers William
Sianga akisaini hati ya kiapo baada ya kuapishwa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi
Omar Yusuf Mzee baada ya kumteua kuwa balozi Leo Jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Joseph Sokoine baada ya kumteua kuwa balozi Leo Jijini Dar es Salaam. |
Mabalozi
na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
waliopishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam wakisaini kiapo cha Maadili katika
utumishu wa umma.
|
No comments:
Post a Comment