Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George
Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
|
No comments:
Post a Comment