Rais wa Chama cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (VOWET) Maida Waziri (katikati) akimfafanulia jambo Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Osward (kulia) wakati wa mkutano wa kwanza kufanyika toka kuanzishwa kwa umoja wa wanawake wajasiriamali mwaka 2015. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kujadili na kupeana taarifa za maendeleo ya chama hicho uliofanyika jijini Dar es salaa mwishoni mwa wiki kwa kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation. Kushoto ni Mratibu wa VOWET, Anna Otieno. (Na Mpiga Picha Wetu).
Rais wa Chama cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (VOWET) Maida Waziri ( katikati) akisalimiana na Meneja wa Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Osward( kulia)walipokutana kwenye mkutano wa kwanza kufanyika wa umoja wa wanawake wajasiriamali nchini,Mkutano huo uliudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam ulikuwa na lengo la kujadili na kupeana taarifa za maendeleo ya chama hicho

No comments:
Post a Comment