
Mbunge wa viti maalum (Chadema), Lucy Owenya, akilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za msiba wa baba yake mzazi, ambaye alikuwa mmoja wa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), marehemu Philemon Ndesamburo, aliyefariki ghafla ofisini kwake mjini Moshi leo. (Na Mpiga Picha Wetu).
No comments:
Post a Comment