Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (wa pili kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji Bi. Sara Kibonde Msika (wa kwanza kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa SSRA katika banda la Mamlaka hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo Kitaifa yalifanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa kwenye banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita mbele ya Mgeni Rasmi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi
wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi),
zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita mbele ya jukwaa kuu katika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi
wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi),
zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi
wa SSRA wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi
wa SSRA wakimsikiliza kwa makini mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao
wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika
Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Wananchi
wakiwa katika banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi
Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika
Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi
ya wananchi waliotembelea banda la SSRA wakipata vipeperushi vya Mamlaka hiyo
wakati wa Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Chuo
cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro
Wadau
wakipata maelezo kuhusu Hifadhi ya Jamii kutoka Maofisa wa SSRA wakati wa sherehe ya
Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment