Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Toto African katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali, akicheza sambamba na wachezaji, Nadir Haroub (kushoto) na Hassan Kessy baada ya timu hiyo kuifunga Toto African bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Toto African katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa Yanga, Juma Abdul akichuana na be African.
Golikipa wa Toto African, David Kissu, akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo. Kutoka kushoto ni Emmanuel Martin, Simon Msuva na Juma Abdul.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia.
Amis Tambwe akipiga mpira wa kichwa na kuipatia timu yake bao pekee dhidi ya Toto African.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Toto African katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Amis Tambwe akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee.
Beki wa Yanga, Vincent Bossou (kulia) akichuana na beki wa Toto African.
No comments:
Post a Comment