Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance
Mabeyo akizungumzia maadhimisho ya miaka
53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo
Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance
Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo
Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wa kwanza kushoto pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange
mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo
la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance
Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo
Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis
Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali
Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa Kamandi na
machifu wa Makao Makuu ya Jeshi hilo. PICHA NA MPIGA PICHA WETU.
No comments:
Post a Comment