HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 01, 2017

MAHAKAMA YA JUU NCHINI KENYA YAAMURU UCHAGUZI KURUDIWA

 Rais Uhuru Kenyatta akihutubia Taifa leo, muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu ya nchini Kenya kuamuru kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 8. Kulia ni Makamu wa Rais, William Rutto. (Picha kwa hisani ya BBC News). 
Rais Uhuru Kenyatta akihutubia Taifa leo, muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu ya nchini Kenya kuamuru kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 8. Kulia ni Makamu wa Rais, William Rutto. 
Rais Uhuru Kenyatta akipongezwa na Makamu wa Rais William Rutto baada ya kulihutubia Taifa.
Wafuasi wa Chama cha Nassa wakifurahia baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamuru kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo ndani ya siki 60. Uchaguzi uliofutwa ulifanyika Agosti 8 Mwaka huu na Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi.  
Rais Uhuru Kenyatta akihutubia wananchi muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamuru kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 8 mwaka huu.  (Picha na Reuters).
Rais Uhuru Kenyatta akihutubia wananchi muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamuru kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 8 mwaka huu.  (Picha na Reuters).
Wafuasi wa Nassa wakifurahia baada ya Mahakama ya Juu kuamuru kwa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 8 mwaka huu. (Picha na AFP).
Rais Uhuru Kenyatta.

No comments:

Post a Comment

Pages