Kikosi
kazi, kilichopewa kazi maalumu ya kupitia upya Ratiba ya Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara (VPL), kimemaliza majukumu yake na sasa Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawatangaza ratiba mpya.
Kwa
mujibu wa ratiba mpya, baada ya michezo ya Agosti 26 na 27, Ligi Kuu ya
Vodacom kwa sasa itaendelea Septemba 9 na 10 kama ambavyo inajionyesha
kwenye kiambatanisho.
……………………………………………………………………..…… ………..……
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
No comments:
Post a Comment