Mbunge
wa Jimbo la Tunduma Frank Mwakajoka akimkabidhi
kiatu mfungaji Josephat Haule kutoka timu ya Morning Star FC baada
kuibuka mfungaji bora kombe la ‘Mwakajoka Cup 2017’bao 13, fainali
uliopigwa juzi katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma Morning
walishinda 2-1 dhidi ya Mpira Pesa FC.
Mbunge wa jimbo la Tunduma Frank Mwakajoka
akimkabidhi kitita cha sh. 500,000/ naodha wa timu ya Morning Star FC Richard
Jailos baada ya timu yake kutawazwa
bingwa wa “Mwakajoka Cup 2017” kwa kufunga Mpira pesa FC bao 2-1 katika mchezo
wa fainali uliopigwa katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma Oktoba Mosi.
Mbunge wa jimbo la Tunduma, Frank Mwakajoka,
akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Morning Star FC, Richard Jailos, baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa
“Mwakajoka Cup 2017” kwa kufunga Mpira pesa FC bao 2-1 katika mchezo wa fainali
uliopigwa katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma Oktoba Mosi. (Picha na
Kenneth Ngeles).
No comments:
Post a Comment