HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 22, 2017

MULTICHOICE YAJIVUNIA MIAKA 20 YA KUTOA HUDUMA TANZANIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande, akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 20 ya kampuni hiyo kutoa huduma Tanzania. (Picha na Francis Dande).
 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akiangalia visimbusi vya Kampuni hiyo wakati alipotembelea maonyesho ya bidhaa za DStv.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia), akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Mwakyembe wakati wa hafla ya maadhimisho ya mika 20 ya Kampuni ya Multichoice Tanzania kutoa huduma Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande.
 Baadhi ya wadau wakiwa katika hafla hiyo.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande, akizungumza katika hafla ya miaka 20 ya Multichoice kutoa huduma hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Pages