Mzee Nunes akitoa Mada fupi katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Wadau
wa Mradi , Kutoka Kushoto ni Ndugu William Mwakitelima (TANAPA), Ndugu
Abraham Saidea (DE-SNARING TEAM), Ndugu Erik Winberg (FZS Project
Manager).
Ndugu Abraham Saidea, akionyesha Nyaya zitumikazo kutega wanyamapori katika mbuga ya Wanyama ya Serengeti katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Ndugu Salehe akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akisalimia na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ili kuzindua mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizindua Mradi
wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation
Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti
iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Ndugu Hanspaul ,akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi
wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Dk. Simon Mduma akitoa neno la Shukrani kwa wadau wa utalii katika Uzinduzi
wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
Ndugu Chambulo, akitoa neno la Hitimisho mara baada ya uzinduzi
wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme
De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika
katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha
Hotel) tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment