HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 30, 2017

TIGO YAZINDUA KAMPENI MPYA YA TUMEKUSOMA


 Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma wa Kampuni ya Tigo, David Umoh, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Tumekusoma inayoendana na uzinduzi wa namba mpya ya huduma *147*00#.  Namba *147*00#  itawawezesha wateja wa Tigo kupata huduma mbali mbali za sauti na VAS kutoka Tigo kwa hatua rahisi zaidi, pamoja na kupata bonasi kubwa ya vifurushi na muda wa maongezi kila watakapotumia namba hiyo mpya. Kulia ni Mtaalam wa Huduma kwa Wateja, Kitengo cha Biashara, Sarah Cyprian.

No comments:

Post a Comment

Pages