Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (wa kwanza
kulia), akimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) mapema leo kabla
ya kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,
jijini Dar es salam.Wengine katika picha ni watendaji wa Sekretarieti ya Ajira.alaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb)
akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Sekretareti ya Ajira katika Utumishi
wa Umma, kabla ya kuongea na watumishi na watendaji wa Sekretarieti hiyo jijini
Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa majukumu na utatuzi wa changamoto zilizopo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais
–Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akimkaribisha
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) kuongea na watumishi wa Sekretarieti
ya Ajira katika Utumishi (hawapo pichani).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi akifanunua hoja alizoulizwa kuhusu utendaji
wa taasisi anayoiongoza mapema leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiongea
na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (hawapo pichani)
mapema leo jijini Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma
(TPSC) Dkt. Henry Mambo akitoa maelezo kuhusu mafanikio na changamoto za TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).
Watendaji wa Chuo cha Utumishi wa Umma
(TPSC) wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) leo
jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa
ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa vikao kazi na taasisi
anazoziongoza, mapema leo jijini Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania
(TPSC) Dkt. Henry Mambo (kushoto) akikabidhi ripoti ya mafanikio na changamoto
kuhusu TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) leo jijini Dar es
salaam
Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika leo
jijini Dar es salaam
Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika leo
jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment