Balozi wa MojaBet, Dorice Kaizirage 'Mama Ashura', akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa Sh. Mil. 10 wa Jackpot Monday, Paschal Onesmo.Wa pili kushoto ni balozi wa MojaBet, Hassan Daffur na Anna Exavery Ebitoke'. (Picha na Francis Dande).
Mshindi
wa Jackpot Monday, Paschal Onesmo (kulia), akipokea kitita cha
Sh. Mil. 10 kutoka kwa Balozi wa MojaBet, Dorice Kaizirage 'Mama
Ashura', baada ya kuibuka mshindi katika droo iliyochezeshwa na MojaBet.
Mshindi wa Jackpot Monday akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wa MojaBet.
No comments:
Post a Comment