HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 09, 2017

PROMOSHENI YA NUNUA NA USHINDE YAFIKIA TAMATI KWA KUTOA ZAWADI KWA WASHINIDI WA TIGO-MASASI MTWARA

 Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo, akitoa maelezo kwa mteja wa Simu aina ya Tecno R6 kwa Faraji Said Lembe Mkazi wa Masasi katika Duka la Huduma kwa Wateja lililopo Masasi Mkoani Mtwara Simu ya Tecno R6 inauzwa shilingi laki moja na tisini na Tano kama Promotion.
 Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo, akikabidhi simu aina ya Tecno S1 kwa mteja Faraji said Lembe mara baada ya kupata maelezo katika Duka la Huduma kwa wateja lililopo Masasi Mkoani Mtwara.
 Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo, akikabidhi Kofia Ngumu na Funguo ya pikipiki kwa mshindi wa shindano la Nunua Ushinde Saudi Chimatilo Mkazi wa Chiungutwa,Masasi Mkaoni Mtwara Shindano hilo ni kwa wanunuzi wa Sim aina ya Tecno R6 na Tecno S1 ambapo washindi walikabidhiwa Seti za Television pamja na Pikipiki.
 Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo, akiwa na Msimamizi wa Duka la Tigo Huduma kwa Wateja Iman Lous mara baada ya kukabidhi pikipiki kwa mteja wa Promosheni ya Nunua Ushinde Saudi Chimatilo mkazi wa masasi mkoani mtwara.

No comments:

Post a Comment

Pages