Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mheshimiwa Job Ndugai
akizungumza na Watendaji Mbali mbali wa halmshauri ya wilaya ya kongwa katika
kikao kilichofanyika leo ofisini kwake kongwa Mjini Dodoma.
Watendaji Mbali mbali kutoka halmashauri ya wilaya
ya kongwa wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) wakati
wa kikao cha pamoja kilichofanyika leo
katika ofisi ya Mbunge (Spika wa Bunge) wilayani kongwa Mkoani Dodoma. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment