Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ndogo ya Masaka
nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu mara baada ya kuwasili
katika Ikulu ndogo ya Masaka nchini Uganda.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta
Museveni akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika eneo la mkutano baina ya wajumbe wa nchi mbili za Tanzania na
Uganda katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja aliombatana nao katika Mazungumzo na ujumbe wa
Uganda uliokuwa ukiongozwa na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika
Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na ujumbe wa Tanzania katika mkutano
huo wa pamoja na ujumbe wa Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma na kikundi cha Ngoma za
Asili cha Cranes Performance mara baada ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na
mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Masaka
nchini Uganda.
Kikundi Cranes performance
kikitumbuiza katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Masaka Uganda.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment