Meneja Masoko wa
Airtel Anethy Muga, akifafanua jambo jijini Dar es Salaam, kuhusu huduma
mpya ya Smatika na Yatosha Intanet Mpya yenye ghalama nafuu wakati wa semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wamiliki wa mitandao ya kijamiii (Bloggers).
Meneja Masoko wa
Airtel Anethy Muga, akizungumza na baadhi ya wamiliki wa Blog kuhusu
huduma mpya ya Smatika na Yatosha Intanet Mpya yenye ghalama nafuu wakati
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mbando, akitoa mda katika semina Smatika na Yatosha Internet iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel kwa ajili ya wamiliki wa mitandaao ya kijamii (Bloggers).
Baadhi ya wamiliki wa Blgo wakiwa katika semina ya Smatika
na Yatosha Intanet Mpya yenye gharama nafuu iliyoandaliwa na Kampuni ya Simu ya
Mkononi ya Airtel
No comments:
Post a Comment