Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, leo wakiwa
kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNIA) katika kikao cha kawaida cha 33 cha kujadili masuala
mbalimbali ya utendaji ya mamlaka kwa kipindi cha robo ya kwanza na pili
ya mwaka wa fedha 2017/2018.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kulia) leo akimweleza
jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya mamlaka hiyo, Prof. Mhandisi
Ninatubu Lema (katikati), katika
kikao cha 33 cha Kawaida cha kujadili robo ya kwanza na pili ya mwaka wa
fedha 2017/2018 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha
ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Wajumbe wa Bodi ya
Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, wakiwa katika
kikao cha kawaida cha 33 cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kwa
kipindi cha robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018
kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Mjumbe wa Bodi ya Ushauri
(MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Dr. Frederick Mwakibinga
(kushoto) akizungumza jambo kwenye kikao cha 33 cha bodi hiyo cha kujadili robo
ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018, kilichofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
No comments:
Post a Comment