HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 16, 2017

SSRA YADHAMINI SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAADILI

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (kulia), akisindikizwa na Mratibu wa Semina ya waandishi wa habari na watangazaji wa michezo na magazeti, Tom Chilala, semina hiyo ilihusu maadili ya taaluma hiyo na kudhaminiwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa semina ya waandishi wa Habari na watangazaji wa michezo na magazeti kuhusu maadili ya taaluma hiyo,  kushoto ni Mratibu wa Semina hiyo, Tom Chilala.
Mmoja wa wadau wa michezo, Faustine Shija, akichangia mada wakati wa semina ya waandishi wa habari na watangazaji wa habari za michezo na magazeti kuhusu maadili ya taaluma hiyo jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Baadhi ya wadau wakifuatilia semina ya waandishi wa Habari na watangazaji wa michezo na magazeti kuhusu maadili ya Taaluma hiyo jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja (wanne kutoka kulia), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washirikiwa semina hiyo na kudhaminiwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Waandishi wa habari za michezo wakiwa katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages