HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 16, 2017

WASHINDA WA PROMOSHENI YA 'TUMIA TIGO PESA NA USHINDE'WAPEWA ZAWADI ZAO

Washindi wa Promosheni ya 'Tumia Tigo Pesa na ushinde' inayoendeshwa na Kampuni ya Simu ya Tigo Tanzania, wakionyesha simu zao baada ya kuwekewa pesa zao walizoshinda. Walioketi ni Meneja wa Wateja wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kushoto) pamoja na Meneja wa Mawasilioano wa Kampuni ya Tigo, Woinde Shisael.

No comments:

Post a Comment

Pages