HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 03, 2018

Kampeni za Ubunge Kinondoni zashika kasi

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika eneo la Hananasif jijini Dar es Salaam Februari 3 2018. (Picha na Francis Dande).
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika eneo la Hananasif jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
 Kada wa Chadema, Tambwe Hiza akihutubia mkutano wa kampeni wa kumnadi mgombea wa ubunge  jimbo la Kinondoni.
 Wananchi.
 Mgombea kuwasili.
 Kumnadi mgombea.
 Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Hananasif jijini Dar es Salaam.
 Fauzia Ismail Aboud ambaye ni mama mzazi wa mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu, akiwasalimia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Hasnanasif jijini Dar es Salaam. Kulia ni mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea.
 Fauzia Ismail Aboud ambaye ni mama mzazi wa mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu, akimuombea kura mgombea huyo katika mkutano wa kampeni uliofanyika Hasnanasif jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea.
Kumnadi mgombea.
Wananchi mkutanoni.
 Viongozi.
 Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni jimbo la Kinondoni.

No comments:

Post a Comment

Pages