Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika Viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Maafisa
wapya wa Jeshi la Ulinzi wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya
Ikulu mara baada ya kutunukiwa Kamisheni.
Mafisa
wapya wa Jeshi la Ulinzi wakivalishana vyeo mara baada ya Kutunukiwa Kamisheni
na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mafisa
wapya wa Jeshi la Ulinzi wakivalishana vyeo mara baada ya Kutunukiwa Kamisheni
na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua gwaride la Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi pamoja na baadhi kutoka
nchi marafiki kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali
Venance Mabeyo, Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli (TMA) Meja
Jenerali Paul Peter Masao katika picha ya pamoja na Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi pamoja na
baadhi kutoka nchi marafiki mara baada ya kuwatunuku Kamisheni.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga ngoma wakati Bendi ya Jeshi la Ulinzi ilipokuwa ikitoa burudani katika
viwanja vya Ikulu mara baada ya kuisha kwa shughuli za Kutunuku Kamisheni.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea kutunuku Kamisheni katika Viwanja vya Ikulu.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wapatao 192
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi pamoja na baadhi kutoka nchi marafiki. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment