HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 19, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB atoa Sadaka ya Shukrani kwa Mungu


Mchungaji Kiongozi, Elgard Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani, akitoa mahubiri wakati wa ibada maalum ya kumtolea Mungu Shukrani.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB na waumini wa Kanisa la KKKT-Msasani wakiwa katika ibada maalum ya kumtolea Mungu Shukrani.
Waumini wakiwa katika ibada.
Ibada ikiendelea.
 Kutoka kulia ni Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, Dk. Charles Kimei na Rose Kimei.
 Kusikiliza neno la Mungu.
Ibada ikiendelea.


Wanakwaya wakiimba katika ibada maalum ya kumtolea Mungu Shukrani.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani, Melgad Metili, akitoa baraka kwa waumini walioshiriki ibada ya kumtolea Mungu shukrani.

Wanakwaya wakiwa katika ibada maalum ya kumtolea Mungu Shukrani.

Ibada ikiendelea.

Ibada ikiendelea.

Ibada ikiendelea.

Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wengine wa benki hiyo wakiwa katika ibada maalum ya kumtolea Mungu shukrani.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada hiyo.

Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, wakiwa katika ibada ya kumtolea Mungu shukrani.

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredy Nshekanabo (kushoto) na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba, Upendo Assey (wa pili kushoto), wakiwa katika ibada hiyo.

Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, wakiimba nyimbo za kumsifu Mungu katika ibada ya kumtolea Mungu shukrani.

Mchungaji Kiongozi wa KKKT-Msasani, Elgard Metili, akitoa mahubiri.

Wakisikiliza mahubiri ya Mchungaji, Melgad Metili wa Kanisa la KKKT-Usharika wa Msasani.

Naibu Spika akitoa Sadaka katika ibada hiyo.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Saugata Bandyopadhyay, akitoa Sadaka katika ibada ya kumtolea Mungu shukrani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, Rose Kimei pamoja na wanafamilia wakiwa katika ibada ya kumtolea Mungu shukrani.

Mchungaji Kiongozi, Elgard Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani, akitoa baraka kwa Dk. Charle Kimei wakati wa ibada maalum ya kumtolea Mungu Shukrani.

Mchungaji Kiongozi, Elgard Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani, akitoa baraka kwa wanafamilia wa Dk. Kimei pamoja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa sadaka ya shukrani kwa Mungu, katika Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani, Dk. Kimei aliambatana na familia yake na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo. Kushoto kwa Dk. Kimei ni Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada hiyo.

Mkurugenzi wa Utawala na Manunuzi wa Benki ya CRDB, Beatus Segeja, (wa pili kulia) akiwa katika ibada maalum ya kumtolea Mungu shukrani. Kushoto. Kulia kwake ni Meneja CRDB Tawi la Mandela-Morogoro, Stephen Mapunda.

Wafanyakzi wa Benki ya CRDB pamoja na waumini wengine wakishiriki ibada hiyo.

Kwaya ikiimba nyimbo za kumsifu Mungu katika ibada hiyo.

Kutoka kulia ni Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, Rose Kimei, na Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Saugata Bandyopadhyay, wakishiriki ibada takatifu ya kumtolea Mungu shukrani katika Kanisa la KKKT-Msasani.

Dk. Charles Kimei na Mkewe, Rose Kimei (kulia kwa Dk. Kimei), wakishiriki ibada takatifu ya kumtolea Mungu shukrani.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay, akishiriki ibada ya Shukrani katika Kanisa la KKKT-Msasani.
Mchungaji Kiongozi wa KKKT-Msasani, Elgard Metili akiongoza ibada ya Shukrani.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakifuatilia hitimisho la ibada ya shukrani.

Dk. Charles Kimei, akiagana na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani, Elgard Metili baada ya kushiriki ibada ya Shukrani.

Rose Kimei akiagana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dk. Tulia Ackson, baada ya kushiriki ibada ya shukrani-KKKT Msasani Dar es Salaam.

Dk. Charles Kimei, akiagana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dk. Tulia Ackson, baada ya kushiriki ibada ya shukrani-KKKT Msasani Dar es Salaam.

Maofisa wa Benki ya CRDB wakitoka katika ibada hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages