HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 26, 2018

SIMBA YAIPA KIPIGO CHA 5-0 MBAO FC

Mshambuliaji wa Simba,  Nicholas Gyan, akiwatoka wachezaji wa Mbao FC. Simba ilishinda 5-0.
Mshambuliaji wa Simba,  Emmanuel Okwi, akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Mbao FC.
Shiza Kichuya (kulia), akishangilia bao lake na Shomari Kapombe.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na Emmanuel Okwi kwa njia ya penalti.
Emmanue Okwi mwamuzi wa pambano lao dhidi ya Mbao FC, Erick Onoka, akimuonyesha sehemu alitoumia
Beki wa Simba, Asante Kwasi, akiwatoka wachezaji wa Mbao FC.
Mashabiki wa Simba wakishangilia.
Benki wa Mbao FC, Boniface Maganga, akichuana na Asante Kwasi.
Kipa wa Mbao FC, Iyvan Rugumandiye, akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Okwi akimpa pole naodha wa Mbao FC, Yusuph Ndikumana,  baada ya kuumia katika harakati za kuokoa mpira.
Kipa wa Mbao FC, Iyvan Rugumandiye, akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, akishangilia moja ya mabao aliyofunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC. Kushoto ni kipa wa Mbao FC, Iyvan Rugumandiye, akiwa ameduwaa.
Raha ya ushindi.
Emmanuel Okwi, akimshukuru Mungu baada ya kuifungia timu yake bao.
Emmanuel Okwi, akiwa katikati ya mabeki wa Mbao FC.
Mshambuliaji wa Simba,  Nicholas Gyan, akiwatoka wachezaji wa Mbao FC.
Erasto Nyoni akishangili baada ya kuifungia timu yake bao.

No comments:

Post a Comment

Pages