Okwi akiwatoka wachezaji wa Azam FC.
Hekaheka katika lango la Azam FC.
Mlinda mlango wa Azam FC, Razak Abalora akidhibitiwa
baada ya mchezo kati ya timu hiyo na Simba wakati akimlalamikia mwamuzi.
Kiungo
Mkabaji wa Azam, Stephan Kingue akiondoa mpira mbele ya shombuliaji wa
Simba Emmanuel Okwi katika dimba la Taifa jana, kwenye mchezo wa Ligi
Kuu kati ya timu hiyo na Simba. Simba ilishinda bao 1-0.
Wachezaji
wa Simba wakimpongeza mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi baada ya
kuifungia timu hiyo goli la pekee katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania
bara kati ya timu hiyo na Azam fc, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Simba ilishinda bao 1-0.
Mashabiki
wa Simba wakishangilia baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
kati ya timu hiyo na Azam FC, uliopigwa katika Dimba la Taifa jijini Dar
es Salaam. Simba ilishinda bao 1-0. (Picha Said Powa).
No comments:
Post a Comment