Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati
akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja
zilizowasilishwa katika taarifa hiyo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ripoti
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa ajili ya kwenda
kuifanyia kazi pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa
Taasisi mbalimbali za Serikali.
Baadhi ya
Mawaziri waliohudhuri katika tukio la uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG wakifatilia kwa makini taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara
baada ya kupokea Taarifa ya Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad pamoja na
wafayakazi mbalimbali kutoka katika Ofisi yake mara baada ya kuwasilisha
taarifa hiyo ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia tarehe 30
Juni 2017, Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment