HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 30, 2018

KKKT BOKO WAFANYA HARAMBEE KUCHANGIA UJENZI WA SHULE YA JUMAPILI


Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk. Alex Malasusa, akizungumza katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya kukusanya fedha za ujenzi wa Jengo la Shule ya Jumapili (SUNDAY SCHOOL). Kushoto ni mchungaji Helerd Nkini wa Kanisa la KKKT Usharika wa Boko na Mchungaji Enock Mlyuka wa Dayosisi ya Mashariki ya Pwani (DMP).

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk. Alex Malasusa, akimshukuru muumini wa kanisa hilo, Gloria Somi, baada ya kuchangia Shs. 500,000 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Shule ya Jumapili 'Sunday  School' katika kanisa la KKKT Usharika wa Boko jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Mwenyekiti wa Mpya wa Umoja wa Wanawake wa Kanisa la KKKT Usharika wa Boko, Sylvia Lupembe, akizungumza baada ya kuchangia fedha katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya kukusanya fedha za Jengo la Shule ya Jumapili 'Sunday School' jijini Dar es Salaam. 



No comments:

Post a Comment

Pages