Meneja Mawasiliano wa Tigo
Tanzania, Woinde Shisael akizungumza na waandishi wa habari katika hafla
ya kuwakabidhi washindi 84 wa wiki hii katika promosheni ya Nyaka
Nyaka Bonus iliyofanyika katika ofisi za Tigo, jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto)
akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Yusra Ali
Ramadhani (kulia) aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 83 wa wiki hii
katika promosheni inayoendelea ya Nyaka Nyaka Bonus.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto)
akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Hamisi Mohammed
Yusuph (kulia) aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 84 wa wiki hii
katika promosheni inayoendelea ya Nyaka Nyaka Bonus. Tigo imetoa jumla
ya simu za kisasa 756 kwa wateja wake walionunua bando za intaneti
kupitia *147*00# tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (wa
nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi 84 wa
wiki hii katika promosheni inayoendelea ya Nyaka Nyaka Bonus. Tigo
imetoa jumla ya simu za kisasa 756 kwa wateja wake walionunua bando za
intaneti kupitia *147*00# tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Baadhi
ya washindi 84 wa wiki hii katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus
wakitazama simu zao aina ya Tecno R6 walizoshinda baada ya kukabidhiwa
zawadi hizo jana katika ofisi za Tigo, jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment