HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 15, 2022

IBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA KKKT USHARIKA WA AZANIA FRONT

 

Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, akiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani kwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Francis Dande).
Baadhi ya waumini wakiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front.

No comments:

Post a Comment

Pages