Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee
Nak-yeon wakati wakielekea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Ikulu kwa
ajili ya kushuhudia tukio la Utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja jipya la
Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco
beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakishuhudia tukio la utiaji saini Mkataba wa
mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini
kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan hadi maeneo ya Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi
wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia
katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Korea Lee Nak-Yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya tukio la utiaji saini wa
mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini
kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon watatu kutoka (kushoto)pamoja na viongozi wengine
wa Jamhuri ya Korea, Serikali ya Tanzania, Wabunge, Wakuu wa Wilaya pamoja na
viongozi wa Mkoa.
No comments:
Post a Comment