Rais wa Jamhuri ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la
Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Alinikisya Cheyo,
aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na
kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili
wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Jacob
Chimeleja wakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo
ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa watika mazungumzo
na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu
Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Frederick Cheyo, Makamu wa
Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT Canon
Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea
na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sala
na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu
Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Frederick Cheyo, Makamu wa
Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT Canon
Moses Matonya ujumbe wa viongozi hao ulipomtembelea na kujitambulisha
kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
No comments:
Post a Comment