Rais John Magufuli akipokea kitabu cha Muongozo wa Sala toka kwa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), Askofu Gervas John Nyaisonga. Kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC), Dk. Flavian Kasalla, na kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dk. Charles Kitima, baada ya viongozi hao wapya TEC kumtembelea Rais Magufuli ili kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki
(TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt.
Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima
viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya
sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu
Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian
Kasalla na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya
wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa
Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla huku Rais wa TEC Askofu
Gervas John Nyaisonga (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Baraza hilo
Dkt. Charles Kitima wakiangalia baada ya viongozi hao wapya wa kanisa
kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 7, 2018
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) huku Makamu wa
Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa
Baraza hilo Dkt. Charles Kitima
ambaye anaongea na wanahabari
mara baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na
kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC)
Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa
Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa
Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa
kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC)
Dkt. Charles Kitima akiwa na Rais wa Baraza hilo Askofu Gervas John
Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla viongozi
hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment