Picha namba 1-2. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho katika jeneza
lenye mwili wa Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman
“King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Hamza Amri Athuman mtoto wa
marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King
Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Mufti Mkuu wa Tanzania
Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally akisoma dua kumuombea Marehemu Mzee Amri
Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Mara baada
ya dua hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
aliongoza mamia ya wananchi kutoa heshma za mwisho katika msiba huo. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment