Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa
akihutubia jukwaani wananchi wa kijiji cha Njoge ili kusikiliza kero zao
mbalimbali.
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa
akifurahia jambo wakati wa kikao cha ndani cha wajumbe wa CCM pamoja na
wataalamu mbalimbali wa kijiji cha Gomaye katika wilaya ya Kongwa.
Wananchi
mbalimbali wa Kijiji cha Njoge wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa
Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho mapema leo.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment