Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika jeneza
lenye mwili wa Marehemu Dada yake Monica
Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli
wakati wakitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Dada yake
Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo ndani ya kaburi la Marehemu
Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani
Geita.
No comments:
Post a Comment